|
Kikosi cha Tanzania |
Tanzania yaendeleza ubabe wa kwa timu za mabunge ya
nchi za
Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya timu ya
mpira wa kikapu wananwake
kuinyanyasa Kenya Bunge
Sports Club kwa mabao 51-25. Wakati huohuo, timu ya
wanaume imeedelea kutoa adhabu kali leo ikiwa ni zamu
ya Rwanda ambapo hadi
kipenga cha mwisho Tanzania 6
Rwanda 0. Jana Kenya ilibamizwa bao 5-0
|
Kikosi cha Kenya |
|
Mwanzo wa karamu ya mabao |
|
Mlinda mlango wa Rwanda (wanaume) akinyanyasika golini |
|
Mambo yalipokuwa magumu Rwanda (wanaume) wakamwingiza mwanamke |