.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Wednesday, July 27, 2011

Mbunge atimuliwa Bungeni

Baada ya Mhe. Tundu Lissu kumtuhumu Mhe. Kassim Majaliwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu kuwa ni mwongo, huku akijiandaa kuthibitisha kauli yake  ndipo sakata likaanza


Ndipo Mhe. Moses Joseph Chamali alipoomba mwongozo wa Kiti

 Mhe. Ezekia Wenjeakitaka kutoa taarifa ya samaki wa sumu kutoka Japan  na kukaidi agizo la Mwenyekiti lililomtaka kukaa.Ndipo Mwenyekiti akaagiza  Mhe. Wenje atolewe nje ya Ukumbi

Wageni wakishangaa kinachoendelea

Mhe Wenje akifafanua kwa waandishi wa habari yaliyojiri

Mhe. Deo Haule Filikunjombe akajitosa

Wabunge wa Upinzani hawakumwelewa

Ikawa vurumai

Mhe Godbless Lema akaingilia

Zogo likazidi

Taratiibu Mhe Filikunjombe anajitoa

Tuesday, July 26, 2011

KANDA YA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA 57 WA CPA WAWJADILI WAGOMBEA NAFASI YA UENYEKITI CPA DUNIA

Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 57 wa Chama cha wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA) unaofanyika London Uingereza, wakifuatilia kwa makini hoja kutoka kwa wajumbe wanaowania uwenyekiti wa Dunia wa chama hicho. Kutoka Kushoto Ni Ndg. Emmanuel Mpanda, anayemwakilisha katibu wa Bunge, Naibu Spika Mhe. Job Ndugai, Mhe. Zungu, Mhe. Beatrice Shelukindo, Mhe. Zitto Kabwe na Mhe. Maua Daftari. Jumla ya wagombea watatu kutoka, Uingereza, Pakistani, na visiwa vya Samoa, wanawania kiti hicho.

Mjumbe katika ujumbe wa wabunge kutoka Tanzania katika Mkutano wa 57 wa Chama cha wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA) unaofanyika London Uingereza, Mhe. Zito Kabwe akiteta jambo na Mbunge Mwenzie kutoka Kenya mara baada ya kikao cha kanda ya Afrika kumalizika. Kulia ni Spika wa Kenya Mhe. Keneth Marende (Mb).

Mjumbe katika ujumbe wa wabunge kutoka Tanzania katika Mkutano wa 57 wa Chama cha wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA) unaofanyika London Uingereza, Mhe. Zito Kabwe akiteta jambo na Mbunge Mwenzie kutoka Kenya mara baada ya kikao cha kanda ya Afrika kumalizika. Kulia ni Spika wa Kenya Mhe. Keneth Marende (Mb).  Picha na Owen Mwandumbya-Bunge

Monday, July 25, 2011

Usiku wa Vodacom ndani ya viwanja vya Bunge, Dodoma

Maandalizi yalikuwa hivi

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akikaribishwa na Boss wa Vodacom Tanzania

Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Lukuvi akijali jambo na Mhe. Spika. Kulia ni Kaimu Katibu wa Bunge Bw. John Joel

Mwenyekiti Kamati ya Starehe Mhe J. Mhagama akijadili jambo na Mkurugenzi wa Huduma
kwa Wabunge  Bi Neema Kusiga

Itafaki iliyosimamia shughuli nzima: Bi. Neema Kiula (kushoto), Kaimu Katibu wa Bunge Bw. John Joel, (Kati) na Bw. Owen Mwandumbya  . Picha zote ni mtirirko wa matukio ya siku hiyo

Mhe Spika wakiteta jambo na Mama Tunu Pinda
Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe akilonga na Kaimu katibu wa Bunge Bw.John Joel


Baada ya kazi ngumu..... kuburudika

Mhe. Mbowe na Mama Tunu Pinda hawakubaki nyuma


Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Vuai Nahodha na Mhe. Sanya


Saturday, July 16, 2011

Bungeni Wiki Hii

Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema. Siku hii wabunge wengi walonekana kwenye vikundi vikundi baada habari za Mbunge wa Igunga Bw. Rostam Azizi kuachia ngazi

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na wanafunzi na waalimu wa shule ya Sekondari ya Iliwola kutoka mkoani Njombe walipolitembelea Bunge Dodoma

Spika na Sekondari ya Ilowola

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakiwa kwenye kikao cha kupokea taarifa ya bajeti ya 2011/2012

Waandishi wa Habari za Bunge wakiwa kazini katika Ofisi yao ndani ya Ofisi ya bunge Dodoma

Wajumbe wa Baraza la WafanyaKazi

Wajumbe wa Baraza la Wafanya kazi

Wajumbe wa Baraza wakimsikiliza Katibu Mkuu wa TUGHE Bw. Kivenge

Wajumbe wakimsiliza Mkurugenzi wa Mipango na Mawasiliano Bw. Siegfried Kuwite
http://www.vicky-kamata.blogspot.com/