.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Wednesday, August 24, 2011

Spika Makinda aongoza maelfu kumzika Mhe. Silima

Marehemu Mussa Khamis Silima Wakati wa uhai wake

Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akiwasili nyumbani kwa marehemu leo

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe Dkt. Ali Mohammed Shein (katikati wenye kanzu), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt Mohammed Ghalib Bilal (kulia) na Makamu wa Kwanza wa rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ni miongoni mwa viongozi wakuu waliohudhiria mazishi hayo 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt Mohammed Ghalib Bilali ajadili jambo na Kamishna wa Bunge Mhe Abdulkadir Shah kabla ya mazishi

Ibada ya mazishi ikiendelea

Spika Makinda akiwa miongoni mwa waombolezaji

Rais wa Serikali ya Mapinduzi akitia udongo kaburini

Kamishna wa Bunge akitia udongo kaburini

Baadhi ya wabunge waliotoka Dodoma kuhudhuria mazishi

Wawakilishi wa Chama cha waandishi wa Habari za Bunge

Ndugu wa marehemu wakiwa kaburini baada ya mazishi

Friday, August 19, 2011

China boosts Parliament IT department in TanzaniaSpeaker of the Parliament of Tanzania Hon. Anne Makinda welcomes Vice-Chairman of the 11th National Committee of the Chinese People's Political Consultative Conference (CPPCC) Hon. Liu Wuwei in Dodoma today. China offered IT equipment for Bunge


 Hon. Makinda addressing the delegation


On exchanging gifts, Hon Makinda gives a wall-clock decorated with Bunge buildings to her guest


A group photo before saying good bye


Deputy Speaker Ho. Job Ndugai sees Hon. Wuwei off at the Dodoma airport. Watching is the deputy Chairman of the Parliamentary Committee of Foreign Affairs, Defencse and Security Hon Mussa Zungu Azan.Thursday, August 18, 2011

Karibuni Bungeni


Naibu Spika Mhe. Job Ndugai akiwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msalato leo baada ya wanafunzi hao kulitembelea Bunge

Waziri Mkuu Mhe. Pinda akibadilishana mawazo na Mbunge wa Peramiho Mhe. Jenista Mhagama leo


Wabunge wakifurahia jambo

Wajumbe wa CPA Tawi la Tanzania wakiwa kwenye kikao leo

Mwenyekiti wa CPA Tanzania Mhe. Azzan Musa Zungu akiendesha Kikao. Kushoto kwake ni Makamu wa Rais wa CPA Mhe. Job Ngugai na Mhe. Abdulkadir Shah (Mjumbe). Kulia ni Ofisa wa Dawati la CPA Bw. Saidi Yakubu na Mhe. Vita Kawawa (Mjumbe)

Wajumbe wa CPA tawi la Tanzania

Ndala kwishne


Habari ndiyo hiyo!


Wednesday, August 17, 2011

Yaliyojiri BungeniWaziri wa maliasili na Utalii Mhe. Ezekiel Maige akiwasilisha Bungeni bajeti ya wizara yake leo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Mhe. Stephen Wasira akimpongeza Mbunge wa Chadema Mhe.Regia Mtema kwa ujasiri wake wa kuliomba Bunge radhi baada ya kutoa matamshi yaliyoashiria ubaguzi wa rangi

Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe akijadili jambo na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Mathias Chikawe

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Wiliam Lukuvi akibadilishana mawazo na baadhi ya Wabunge Dodoma leo.
 
Wabunge wakimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii(katikati)


Tuesday, August 9, 2011

Changamoto za Upinzani zisipuuzwe

Mkutano wa 13 wa Maspika na Wenyeviti wa Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika umeendelea mjini Liliongwe Malawi leo kwa kujadili changamoto mbalimbali zitokanazo na vyama vya upinzani. Kutoka kulia ni Bw Saidi Yakubu na Bw. Demetrius Mgalami  kutoka Tanzania wanaounda sekretarieti ya CPA Kanda ya Afrika
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akifuatilia mjadala huo kwa umakini
Ulipofika wakati wa kulitembelea Jengo jipya la Bunge la Malawi Maspika wote kutoka nchi kumi natisa wlipata fursa ya kupanda mti wa ukumbusho katika viwanja vya Bunge.  Mhe Makinda akipanda mti wa Ukumbisho katika eneo lilitengwa rasmi kwa ajili ya wa Tanzania aina ya ashoki.


Baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania wakiwa na Mhe. Spika kwenye mti huo.


Picha ya Maspika wote baada ya kupanda miti.

Picha zote na Prosper Minja -Bunge

.