.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, February 7, 2017

13 Waachiwa sakata la dawa za Kulevya, Wema Sepetu abaki....

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imwaachia kwa dhamana wasanii 13 waliokamatwa na kuchunguzwa kwa kujihusisha na dawa za kulevya huku Msanii nguli Wema Sepetu akirudishwa mahabusu hadi upelelezi wake utakapokamilika: Pichani juu na chini  ni baadhi ya wasanii hao wakisubiri hukumu, gari la polisi, na picha ya mwisho ni ndugu, jamaa na marafiki wa familia za wasanii


Monday, October 17, 2016

Hatari kwa wakazi wa Tabata Kimanga, Chang'ombe Dar

Mtoto Juma Ramadhani wa Shule ya Msingi Tabata Kimanga akiwa amembeba mdogo wake, Sarah sadiq ili kumvusha daraja linalounganisha Tabata Kimanga na Tabata Chang'ombe

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tabata Kimanga Bwana Amani akilitafakari daraja linalounganisha Tabata Kimanga na Tabata Chang'ombe

Tuesday, August 30, 2016

Matukio mbalimbali

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili nchini Swaziland ambako anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Mhe. John Pombe Joseph Magufuli kuhudhuria Mkutano wa 36 wa SADC Agosti 28, 2016

Mapokezi ya Makamu wa Rais

Vikundi vya Ngoma

Makamu wa Rais akifanya mazungumzo na Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi wa Swaziland

Jengo unamofanyoka Mkutao wa 36 wa SADC

Raia wakishangaa ajali iliyosababishwa na Dadadala huko Temeke leo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akijadili jambo na ujmbe wa japani hapa nchini

Tukio la kihistoria: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli (JPJM) akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mgombea Urais kwa tiketi ya muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutipa CHADEMA Mhe. Edward Ngayai Lowassa. Hii ni mara yao ya kwanza wanakutana na kusalimiana tangu Mhe. Lowassa alipotoka CCM na kuhamia CHADEMA mapema mwezi Juni mwaka 2015. Vingozi hawa walikutanishwa na tukio la sherehe ya miaka 50 ya jubilee ya ndoa ya Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa tarehe 27/8/2016 Jijini Dar es Salaam. Tukio hili lilitoke wakati nchi ikiwa kwenye sintofahamu ya kiusalama kufuti mvutano mkubwa kati ya CHADEMA, Polisi na katozo la Rais la mikutano ya vya vya siasa. CHADEMA tayari imetangaza maandamano nchi nzima kwa jina la Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (UKUTA) tarehe 1/9/2016 na Polisi tayari imeyapiga marufuku maandamano hayo.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bwana George Masaju akuzungumza na vyombo vya habari kuhusu uharamu wa UKUTA

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Tanzania Bw. Augustino Lyatonga Mrema akionge na vyombo vya habari kuhusu vita dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya.

Waziri wa Habari Utamaduniu na Michezo Mhe. Nape Moses Nauye akifafanua jamabo baada ya kutangaza kuvifunga vituo vya radio vya Radio 5 na Magic FM kwa makosa ya uchochezi na kashfa kwa Mkuu wa nchi mapema tarehe 29/8/2016

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Kulia) akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta kwenye Mkutano wa Japan - Africa Business Conference Jijini Nairobi Agosti 27, 2016

Picha ya pamoja kwenye Japan - Africa Business Conference Nairobi

Monday, July 18, 2016

Arusha kuchele


Muonekano wa Arusha Hotel baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa

JPM awkilishwa na Makamu AU Kigali

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akisalimiana na Mamlaka za Rwanda mara alipowasili Kigali Rwanda kuhudhuria Mkutano wa 29 wa Wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika. Mhe. Suhluhu namwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli
Wednesday, July 13, 2016

Kijana afungiwa ndani na wazazi wake miaka 11 huko Mbeya

Kijana Emmanuel mwenye mtindio wa ubongo
Malazi yake

Shangazi yake akijiandaa kumfanyia usafi

Jamii imeaswa kutowanyanyapaa na kuwaficha watoto wenye matatizo ya kimaumbile.....


Vivuko vya Magogoni na Pangani mbioni kumalizika

Kivuko cha Magogoni

Kivuko cha PanganiUgawaji wa Madawati


Kinyang'anyiro Ukatibu Mkuu UN........ Ban Ki-Moon amaliza muda wake

Vesna Pusic (Croatia)

Antonio Guterres (Portugal)

Susan Malcorra (Argentina)

Vuk Jeremic (Serbia)

JPM akabidhi madawati 120,000 yaliyotolewa na Bunge

Rais John Pombe Magufuli (katikati) akiwa na Waziri Mkuu, Naibu Spika, na wajume wa Utumishi wa Bunge mara baada ya kupokea na kukabidhi madawati 120,000 yaliyotolewa na Ofisi ya Bunge. Madawati hayo yatakabidhiwa kwa wabunge wote wa majimbo nchini

Sehemu ya Madawati

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bunge ni miongoni mwa wageni walioshuhudia hafla hiyo na ni wanufaika wa madawati hayo.