.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, January 30, 2015

Taswira Bungeni Leo

Mhe. Lukuvi na Mhe. Lowassa

Mhe. Lowassa na Mhe. Vulu

Rais Kiwete nchini Ufaransa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Francois Holland mara baada ya Rais Kikwete kuwasili Paris kwa ziara ya kikazi
Add caption

Rais Kikwete akikagua grwaride maalum


Viongozi hao wakijadiliana

Rais Kikwete akifungua rasmi jengo la ubalozi wa Tanzania Jijini Paris
Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni mashuhuri ubalozini hapo

Picha ya amoja ya Rais na ujumbe wake pamoja na Balozi Begum Maj (nguo nyeupe) na watumishi wa ubalozi


Wednesday, January 21, 2015

Vifaa vya Tehama vyatua Bungeni

Dr. LU Youquing, balozi wa China Tz. akimkabidhi Spika Makinda vifaa vya mawasiliano vyenye thamani ya dola za kimarekani 100,000
Kamati za Bunge kazini


Sunday, January 18, 2015

Kinyaiya Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Dodoma

Mhashamu Baba Askofu Beatus Kinyaiya akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt Gharib Bilal aliyemwakilisha Rais mara wakati wa Ibada ya kusimika kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma tarehe 18/1/2015

Makamu wa Rais akitoa salamu rasmi za Serikali

Picha ya pamoja

Monday, January 5, 2015

Jaji Masaju aapishwa kuvaa viatu vya Werema

Spika wa Bunge Mhe Anne S. Makinda (wa pili kutoka kulia) pamoja na viongozi wakuu wakati wa Kuapishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali 5/1/2015
Kiapo

Vitendea KaziWakuu wa Vyombo vya Ulinzi. Kutoka Kushoto: Gen. Devis Mamunyange (CDF), Rais Kikwete, AG. George Masaju, IGP Ernest Mangu na CGP John C. Minja