Jengo la CRDB Jijini Bujumbura Burundi |
Rais wa Burundi Piere Nkurunzinza akikata utepe wa jengo la CRDB. Kulia ni Dkt Charles Kimei, Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB |
Balozi wa Tanzania nchini Burundi (kushoto) akiteta neno na Dkt Kimei (kulia) |
Wafanyakazi wa CRDB Burundi na Tanzania kwenye picha ya pamoja. |