Spika Makinda akimkaribisha Rais Kikwete katika uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu yaJumuiya ua Afrika Mashariki jijini Arusha |
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Margareth Natongo Zziwa akimkaribisha Spika wa Bunge la Tanzania kwenye Ukumbi wa Bunge la Afrika Mashariki ndani ya Jengo la Jumuiya hiyo
Spika Zziwa akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uzinduzi wa ukumbi wa Bunge |
Rais Kikwete akilihutubia Bunge la Afrika Mashariki
Picha ya pamoja
Muonekano wa Jengo kwa nje