.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Wednesday, January 30, 2013

TASWIRA KITAIFA

Mabweni ya shule za kata ni tatizo?

Mwajuma Ramadhi ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Mkoma iliyoko katika Wilaya ya Newala Mkoa wa Mtwara, anayeishi katika nyumba ya kupanga iliyoko karibu ya shule ambayo anasoma kwa mwezi analipa kodi Tshs 2500.
Pia Athumani Hamza Mwanafunzi wa Kidato cha pili anayesoma katika shule ya sekondari ya Mnyambe iliyoko katika Wilaya ya Newala, naye anaishi katika nyumba ya kupanga kwa mwezi analipa kodi Tshs. 2000, Shuleni Mnyambe kuna bweni la kulala wanafunzi, lakini mzazi wake hana pesa ya kulipia bweni kwa mwaka Tshs.100,000 (Picha kwa hisani ya www.mkumbaru.blogspot.com)

 Maabara katika shule za kata ni tatizo?

Hicho ndio chumba cha darasa kinachotumika kama maabara katika shule ya sekondari Dr. Alex iliyoko katika Wilaya ya Newala katika Mkoa wa Mtwara, Wilaya hiyo ina shule za sekondari za kata 28 lakini kati ya hizo ni shule nne tuu ambazo zina majengo mbalimbali ya maabara nazo ni Nambunga, Newala day, Nangwanda na Mnyambe.

Maktaba shule za kata ni  tatizo?

Hiki ni moja ya chumba kinachotumika kama Maktaba ya shule ya Sekondari ya Nangwanda iliyoko katika Wilaya ya Newala Mkoa wa Mtwara, Wilaya hiyo ina shule za Sekondari za Kata 28 na jengo moja la Maktaba katika shule ya Sekondari ya Newala day.

 Ubunifu, ajira na kipato

Mpukuta ni Mlemavu wa Viungo kwa muda wa miaka 20 sasa, amepata ulemavu huo baada ya kuumwa miguu kwa miaka saba alivyopona ndio miguu hiyo ikawa haina nguvu ya kukanyaga chini, kwa sasa anatembea kwa kutumia mikono yake miliwi na miguu ikiwa inaburuza chini. Analinda ndoo na samaki wa wavuvi na wachuuzi katika soko la Feri na kujipatia kipato cha sh.2000/-hadi 2500/- kwa kila ndoo.

 "Kuchimba dawa" ni issue  nzito
Baadhi ya abiria wa kwenda Mikoa ya Kusini Lindi na Mtwara, wakijisaidia katika kichaka ambacho kipo karibu na barabara katika Kijiji cha Ikwiriri Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani. Aina hii ya "kuchimba dawa"  sio tuu kuchafua mazingira pia ni hatari kwa afya.

 Supu ya Pweza na heshima ya ndoa

Licha ya Pweza kutabiri mechi mbalimbali za mpira wa miguu katika Bara la Afrika na Ulaya, lakini supu ya Pweza inarudisha heshima ndani ya ndoa, kwa kunywa supu hiyo na mkia wake iliyopikwa vema kwa dakika 30 na kuwekwa viungo kama ndimu na tangawizi kukata shombo , ukinywa hiyo baada ya saa moja mambo safi ndani ya ndoa," anasema Mfaume Namkopi mpika na mkaanga pweza wa sokoni Feri kwa miaka 21 sasa.

Victar Mwandike ni Afisa Uvuvi wa Sokoni hapo alisema kuwa samaki jamii ya Kamba, Kitaa na Pweza wanaongeza vitamini A katika mwili wa binadmu na huleta heshima katika tendo la ndoa. na 

Monday, January 28, 2013

Spika atoa wito Balozi zijitegemee

     Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwasili kwenye Ubalozi wa Tanzania DRC na kusalimiana na watendaji wa ubalozi huo baada ya kupokelewa na Kaimu Balozi Mhe. Hemed Mgaza (kushoto) Spika Makinda ameandamana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulizni na Usalama, Mhe. Mussa Azzan Zungu. Spika Makinda ameshauri kuwa wakati umefika kwa balozi zetu kuwezeshwa ili zijitegemee.

 
       Wafanyakazi wa Ubalozi

 
       Spika akisaini Kitabu cha wageni

 
   Picha ya Pamoja na wafanyakazi

 
     Jengo la Ubalozi. Jengo hili lipo kando ya barabara kuu Kinshasa, eneo maarufu kwa biashara.

 
 Wajumbe kaamati maalum wakiendelea na mkutano wa FP/ICGLR
 


    Makamu Mwenyekiti  Mhe. Zungu akisaini kitabu cha wageni

Wednesday, January 23, 2013

TANZANIA YAPONGEZWA KWA KUSULUHISHA MIGOGORO BARANI AFRIKA

 Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili leo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
(DRC) na kupokelewa na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini humo Bwana Hemed Mgaza (katikati)
Kushoto ni Mwenyekiti wa Bunge na Makanu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje,
Ulizi na Usalama Mhe. Musa Azzan Zungu (Mb). Kulia ni Mhe. Sadifa Juma Khamis, (Mb).Mhe.
Spika ameongoza ujumbe wa Wabunge watano kudhuria Mkutano wa tatu wa Kimataifa
wa Jukwaa la Kibunge lanchi za Ukanda wa Maziwa Makuu.
  Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Kimataifa ya nchi za Ukanda wa Maziwa Mkuu (FP-ICGLR) limeitaja Tanzania kuwa mfano wa kuigwa kwa juhudi inazozifanya kuleta amani barani Afrika. Pongeli hizi zimetolewa leo na jumla ya nchi wa kumi na mbili zinazounda Jukwaa hilo kwenye mkutano wa tatu unaoendelea kwenye Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimewataja Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoa na watanzania kama wapenda amani barania Afrika. Hii ni kutokana na viongozi hao kujitolea kusuluhisha migogoro ya DRC/Rwanda na kundi la M23, migogoro ya Afrika ya Kati, mgogoro wa Sudani na Sudani Kusini, mgogoro wa Kenya baada ya uchaguzi mkuu na mingine mingi. Pamoja na Tanzania, Afrika Kusini nay imepongezwa. Bunge la Tanzania limewkilishwa na Spika wa Bunge ambaye ameongoza ujumbe wa wabunge watano ambao ni Mhe. Mussa Azzan Zunge, Mhe. Pauline Gekul, na Mhe Sadifa Juma. Wengine ni Mhe. Mohamed Mbarouk na Mhe. Prudenciana Kikwembe.
Spika Makinda na Spika wa Kenya Mhe. Kenneth Marende  (kulia) wakiingia kwanye mkutano huo.

Ufunguzi wa mkutano wa Tatu wa PF –ICGLR  (Forum of Parliaments of International Conference on Great Lakes Region – FP/ICGLR) mjini Kinshasa

Ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano huo

Picha ya pamoja ya maspika, Sekretarieti pamoja washirika wa maendeleo wa FP-ICGLR
 

 Wadau
 Light moments

Wednesday, January 16, 2013

Spika Makinda atoa maoni ya katiba mpya

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akitoa maoni kwa niaba ya Taasisi anayoingoza kwenye Tume ya kukusanya maoni ya Katiba mpya.... ameshauri mawaziri wasitokane na wabunge, spika asiwe na chama na asiwe mbunge, kuwe na mabunge mawili: la kawaida na la seneti kwa maslahi ya taifa.....

Mkapa, Msuya katiba mpya

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa (kati) akijiandaa kukutana na Tume ya katiba Mpya nyumbani kwake 


Tuesday, January 15, 2013

Higher Education Exhibition


THE TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES

8th Exhibitions on Higher Education, Science and Technology

Diamond Jubilee Hall, Dar es Salaam

Wednesday 22th to Friday 24th May, 2013

The Tanzania Commission for Universities (TCU) wishes to inform all stakeholders and the general public that, the 8th exhibitions on Higher Education, Science and Technology will be held from 22nd-24th May 2013. These exhibitions are jointly organized by the TCU, the Ministry of Education and Vocational Training (MoEVT), Higher Education Institutions, as well as Regulatory, Professional and Research Bodies in and outside Tanzania.

 

Theme: "Building a knowledgeable, accountable and progressive society through Higher Education, Science and Technology"

 

Exhibitions’ Vision:

To become the leading national and regional state of the art exhibitions that promotes participation, enhances collaboration, builds up partnerships between higher education institutions and the Industry as well as developing mutual understanding on the issues that govern the quality of Higher education in the Country for the benefit of all humanity.

 

 

 

 

Exhibitions’ Mission:

To promote equity and collaboration, create partnerships and networks amongst the exhibitors and create linkages between higher education institutions, industry, research and development institutions and the market for national, regional and global socioeconomic development.

 

The Objectives of the Exhibitions:

o   Creation of awareness among the general public about the development of Higher Education and Research Institutions and Professional Bodies in the country;

 

o   Providing an opportunity to Higher Education Institutions to publicize their core functions and activities in the areas of teaching, research, consultancy as well as their current performance, potentials and future prospects;

 

o   Providing a platform for Higher Learning and Research Institutions as well as Local and International Educational Business Companies to exchange ideas and experiences related to their core functions thereby triggering competition that will result in provision of quality higher education and research output;

 

o   Enable the public and prospective applicants for admission into Higher Education Institutions within and outside Tanzania for the year 2013/2014 to interact with Universities, Regulatory Bodies and Research Institutions in order for them to make an informed choice;

 

o   Sensitize the public on the application process through the Central Admission System (CAS).

 

Participants:

Exhibitors are Higher Learning and Research Institutions, Quality Assurance Regulatory Bodies and Foreign Universities from within and outside the East Africa Region. Local and International Educational Business companies are also invited to participate.


Exhibitions Venue:

The 8th exhibitions on Higher Education Science and Technology will take place at the Diamond Jubilee Hall, Dar es Salaam.

Duration:

The exhibitions will be open at 09.00 hours and close at 18.00 hours for three days from 22nd-24th May 2013.

 

Expected Outcome:

The exhibitions will enable the Government, employers and the general public to realize the opportunities available in Higher Education sector and in Educational Business Companies within and outside Tanzania and appreciate the critical roles they play in achieving national development goals.

 Sponsorship:

We invite companies, Organizations and individuals who wish to sponsor the exhibitions. Upon some agreements, sponsors will be given a chance to advertise their business/ goods/services as well as a space to exhibit their business/ goods/services.  Interested sponsors please contact the Office of Executive Secretary, TCU through below address.

Issued by the office of:

 

Executive Secretary,

Tanzania Commission for Universities,

Garden Road, Mikocheni,

P. O. Box 6562,

Tel: 22 2772657

Fax: 22 2772891

Email: es@tcu.go.tz

Dar es Salaam

 

 

 

You are all welcome