.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Monday, November 24, 2014

Hivi ndivyo kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ilivyokabidhiwa taarifa ya CAG na Naibu Spika Mhe. Job Ndugai kuhusu sakata la Escrow na IPTL November 17, 2014

Naibu Spika Ndugai
Taarifa ya CAG

Taarifa fupi ya makabidhiano


Muhtasari wa ripoti

Mwenyekiti wa PAC Mhe. Zitto Zuberi kabwe akiipokea ripoti
Mwenyekiti na Makamu Mhe. Deo Filikunjombe wake wakipakea taarifa nzima


Mwenyekiti wa Kamati akielezea mkakati wa kuchambua taarifa

Katibu wa Bunge akitangaza kikosikazi cha kamati hiyo ya PAC


Kikosikazi chenyewe

Friday, November 14, 2014

Kamati ya uongozi 13/11/2014


Mweneykiti wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (kulia) akiendesha kikao cha Kamati ya Uongozi mara baada kuahirisha kikao cha Bunge. Hapa anatoa ufafanuzi kwa baadhi mambo yalijitokeza ambapo pamoja na mambo mengine amesema taarifa ya IPTL itakabidhiwa kwa  Waziri Mkuu naye ataikabidhi kwa Spika wa Bunge.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. William Lukuvi (Mb) (kulia) akifafanua hoja kwa niaba ya Serikali kwenye kikao hicho kilichofanyikaa katika Ukumbi wa Spika wa Bunge.

Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (mbali-kulia) akitoa ushari wa kitaalam kuhusu mafanikio ya mkutano wa 16 na 17 unaoendelea Dodoma wakati wa kikao cha Kamati ya UongoziWajumbe wa Kamati ya Uongozi wakimsikiliza Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilila alipokuwa akitoa ushari wa kitaalam kuhusu uendeshaji wa shughuli za Bunge.

Mjumbe wa Kamati ya Uongozi na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa akifafanua jambo wakati wa kikao ambapo alilitaka Bunge liendelee kufanya kazi zake za kuishauri serikali  kwa umaahisri kama inavyostahiki.


Wajumbe wa kamati ya Uongozi wakimsiliza Mhe. Lowassa.

Thursday, November 13, 2014

Serebuka, punguza stress na Skylight Band

Bella Kombo

Anneth Kushaba


Digna Mbeoera

Hashim Donote

Sam Mapenzi


Idrisa

Daudi Tumba


Kikuku style

Tuesday, November 11, 2014

TCRA yakutana na wamiliki wa Blogs Tanzania 11/11/2014 kuhusu kuripoti habari za Uchaguzi serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015

Mkurugenzi Mkuu TCRA

Watumishi TCRAWamiliki wa Blogs

Mtaalam TCRA

Wamiliki wa BlogsMkurugenzi Idara ya Habari Maelezo