.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, May 31, 2013

MPIGANAJI ERNEST ZULU AZIKWA KIJIJINI KWAO SONGEA LEO

 
     Mwakilishi wa Spika wa Bunge ambaye pia ni Kamishna na Mbunge wa Mafia Mhe. Abdul Karim Shah akitoa salamu za rambirambi wakati wa mazishi ya Afisa Habari Mkuu wa Bunge marehemu Ernest Zulu yaliyofanyika katika kijiji cha Ndilima, Peramiho mkoani Songea leo.


Mwakilishi wa Katibu wa Bunge ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Jossey Mwakasyuka akisoma wasifu wa marehemu Ernest Zulu.


Katibu wa Bunge Mstaafu Mzee George Mlawa  akitoa salamu za rambirambiBaada ya salamu hizo, ndipo Padre Fidelis Mligo wa Abisiya ya Peramiho akaongoza ibada ya Misa Takatifu na mazishi ya mtumishi huyo wa Bunge


Mkuu wa Wilaya ya Songea Ndugu Joseph Mkirikiti  (wa pili kushoto waliokaa) aliiwakilisha serikali katika mazishi hayo.


Waombolezaji kutoka Ofisi ya Bunge


Dada yake marehemu akiwa amepoteza fahamu wakati wa mazishi ya kaka yake.Mwakilishi wa Spika wa Bunge Mhe. Abdul Karim Shah akiweka udongo kaburini kushiria safari ya mwisho ya Afisa Habari Mkuu wa Bunge marehemu Ernest Zulu leo


Thursday, May 30, 2013

KATIBU WA BUNGE DKT THOMAS KASHILILLAH ANGOZA MAELF KUMUAGA ZULU

Aliyekuwa Afisa Habari Mkuu wa ofisi ya Bunge hayati Ernest X. Zulu

Wa pili kutoka kushoto ni Kamishna wa Bunge Mhe. Abdul Karim Shah (Mb), Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilillah, ndugu wa mke wa marehemu Zulu na mke wa marehemu Ernest Zulu nyumbani kwa maerhemu Zulu, Ubungo Kibangu wakati wa kuuga mwili wa marehemu Ernest Zulu

Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa Bwana Jossey Mwakasyuka akisoma wasifu wa Marehemu Ernest Zulu.

Kamishna wa Bunge Mhe. Abdul Karim Shah ambaye pia ni Mbunge wa Mafia akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Zulu


Watoto wa marehemu Zulu wakimuaga baba yao


Jeneza lenye mwili wa marehumu Zulu likiwa katika chumba maalum nyumbani kwao Songea baada ya kusafirishwa kwa ndege kutoka Dar es Salaam.

Wednesday, May 29, 2013

Hatimaye mwili wa marehemu Ernest Zulu wawasili nchini

Mwili wa Marehemu Ernest Zulu, Afisa Habari Mkuu Ofisi ya Bunge umewasili nchini kutoka Malaysia ambako alikuwa akisoma hadi umauti ukamkuta. Heshima za mwisho zitatolewa leo tarehe 30 Mei, 2013 nyumbani kwake Dar es Salaam, Ubungo-Kibangu kuanzia saa tano asubuhi

1.       Jeneza lenye mwili wa marehemu Ernest Zulu likiwa kanisani wakati wa ibada ya kumwombea


1.       Mke wa marehemu Zulu (aliyefunga mkono) akiwa kanisani


1.       Watoto wa marehemu Zulu wakiomboleza kifo cha baba yao mpendwa


1.       Maandalizi ya ibada ya Misa takatifu ya kumwombea marehemu


1.       Waomboleza kwenye msiba wa marehemu Ernest Zulu.

Tuesday, May 28, 2013

Once again the Big Brother (2013) is here with us.... any constuctive lesson???

Feza - Tanzania

Nando - Tanzania

Binguesa - Angola

Bimp - Ethiopia

Selly - Ghana

Natasha - Malawi

Berverly - Nigeria

Cleo - Zambia

Hakeem - Zimbabwe


Pokello - Zimbabwe

Thursday, May 23, 2013

JICHO LETU MTWARA Hakuna usafiri kutoka Lindi kwenda Mtwara
Usafiri umekwama


 Chanzo ni vurugu za gesi
 Nyumba zachomwa moto
 Vizuizi barabarani

Magari yachomwa moto Tunasubiri maelekezo Ni vurugu tupu

Raia mmoja auawa wanajeshi wanne wafa ajalini wakienda eneo la tukio


Ni wakati wa kusomwa bajeti ya waizara ya Nishati na Madini

Monday, May 20, 2013

Ajali ya lori la mafuta Mbeya, Kitoweo barabarani

Ajali ya Lori la Lake


Mwenye ndoo haya!


Mwenye kikombe twende!

Mbuzi mbuzi mbuzi

Nyama nyama nyama