Marehemu Mussa Khamis Silima Wakati wa uhai wake |
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akiwasili nyumbani kwa marehemu leo |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt Mohammed Ghalib Bilali ajadili jambo na Kamishna wa Bunge Mhe Abdulkadir Shah kabla ya mazishi |
Ibada ya mazishi ikiendelea |
Spika Makinda akiwa miongoni mwa waombolezaji |
Rais wa Serikali ya Mapinduzi akitia udongo kaburini |
Kamishna wa Bunge akitia udongo kaburini |
Baadhi ya wabunge waliotoka Dodoma kuhudhuria mazishi |
Wawakilishi wa Chama cha waandishi wa Habari za Bunge |
Ndugu wa marehemu wakiwa kaburini baada ya mazishi |