| Waziri wa maliasili na Utalii Mhe. Ezekiel Maige akiwasilisha Bungeni bajeti ya wizara yake leo |
| Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe akijadili jambo na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Mathias Chikawe |
| Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Wiliam Lukuvi akibadilishana mawazo na baadhi ya Wabunge Dodoma leo. |
| Wabunge wakimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii(katikati) |