Naibu Spika Mhe. Job Ndugai akiwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msalato leo baada ya wanafunzi hao kulitembelea Bunge |
Waziri Mkuu Mhe. Pinda akibadilishana mawazo na Mbunge wa Peramiho Mhe. Jenista Mhagama leo |
Wabunge wakifurahia jambo |
Wajumbe wa CPA Tawi la Tanzania wakiwa kwenye kikao leo |
Wajumbe wa CPA tawi la Tanzania |