![]() |
| Marehemu Mussa Khamis Silima Wakati wa uhai wake |
| Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akiwasili nyumbani kwa marehemu leo |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt Mohammed Ghalib Bilali ajadili jambo na Kamishna wa Bunge Mhe Abdulkadir Shah kabla ya mazishi |
| Ibada ya mazishi ikiendelea |
| Spika Makinda akiwa miongoni mwa waombolezaji |
| Rais wa Serikali ya Mapinduzi akitia udongo kaburini |
| Kamishna wa Bunge akitia udongo kaburini |
| Baadhi ya wabunge waliotoka Dodoma kuhudhuria mazishi |
| Wawakilishi wa Chama cha waandishi wa Habari za Bunge |
| Ndugu wa marehemu wakiwa kaburini baada ya mazishi |
