.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, August 9, 2011

Changamoto za Upinzani zisipuuzwe

Mkutano wa 13 wa Maspika na Wenyeviti wa Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika umeendelea mjini Liliongwe Malawi leo kwa kujadili changamoto mbalimbali zitokanazo na vyama vya upinzani. Kutoka kulia ni Bw Saidi Yakubu na Bw. Demetrius Mgalami  kutoka Tanzania wanaounda sekretarieti ya CPA Kanda ya Afrika
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akifuatilia mjadala huo kwa umakini
Ulipofika wakati wa kulitembelea Jengo jipya la Bunge la Malawi Maspika wote kutoka nchi kumi natisa wlipata fursa ya kupanda mti wa ukumbusho katika viwanja vya Bunge.  Mhe Makinda akipanda mti wa Ukumbisho katika eneo lilitengwa rasmi kwa ajili ya wa Tanzania aina ya ashoki.


Baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania wakiwa na Mhe. Spika kwenye mti huo.


Picha ya Maspika wote baada ya kupanda miti.

Picha zote na Prosper Minja -Bunge

.