Mwakilishi wa Katibu wa Bunge ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Jossey Mwakasyuka akisoma wasifu wa marehemu Ernest Zulu.
|
Katibu wa Bunge Mstaafu Mzee George Mlawa akitoa salamu za rambirambi
|
Baada ya salamu hizo, ndipo Padre Fidelis Mligo wa Abisiya ya Peramiho akaongoza ibada ya Misa Takatifu na mazishi ya mtumishi huyo wa Bunge
|
Mkuu wa Wilaya ya Songea Ndugu Joseph Mkirikiti (wa pili kushoto waliokaa) aliiwakilisha serikali katika mazishi hayo.
|
Waombolezaji kutoka Ofisi ya Bunge
|
Dada yake marehemu akiwa amepoteza fahamu wakati wa mazishi ya kaka yake.
|
Mwakilishi wa Spika wa Bunge Mhe. Abdul Karim Shah akiweka udongo kaburini kushiria safari ya mwisho ya Afisa Habari Mkuu wa Bunge marehemu Ernest Zulu leo
|