JICHO LETU MTWARA
Hakuna usafiri kutoka Lindi kwenda Mtwara
Usafiri umekwama
Chanzo ni vurugu za gesi
Nyumba zachomwa moto
Vizuizi barabarani
Magari yachomwa moto
Tunasubiri maelekezo
Ni vurugu tupu
Raia mmoja auawa wanajeshi wanne wafa ajalini wakienda eneo la tukio
Ni wakati wa kusomwa bajeti ya waizara ya Nishati na Madini