.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Thursday, May 30, 2013

KATIBU WA BUNGE DKT THOMAS KASHILILLAH ANGOZA MAELF KUMUAGA ZULU

Aliyekuwa Afisa Habari Mkuu wa ofisi ya Bunge hayati Ernest X. Zulu

Wa pili kutoka kushoto ni Kamishna wa Bunge Mhe. Abdul Karim Shah (Mb), Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilillah, ndugu wa mke wa marehemu Zulu na mke wa marehemu Ernest Zulu nyumbani kwa maerhemu Zulu, Ubungo Kibangu wakati wa kuuga mwili wa marehemu Ernest Zulu

Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa Bwana Jossey Mwakasyuka akisoma wasifu wa Marehemu Ernest Zulu.

Kamishna wa Bunge Mhe. Abdul Karim Shah ambaye pia ni Mbunge wa Mafia akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Zulu


Watoto wa marehemu Zulu wakimuaga baba yao


Jeneza lenye mwili wa marehumu Zulu likiwa katika chumba maalum nyumbani kwao Songea baada ya kusafirishwa kwa ndege kutoka Dar es Salaam.