.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Wednesday, May 29, 2013

Hatimaye mwili wa marehemu Ernest Zulu wawasili nchini

Mwili wa Marehemu Ernest Zulu, Afisa Habari Mkuu Ofisi ya Bunge umewasili nchini kutoka Malaysia ambako alikuwa akisoma hadi umauti ukamkuta. Heshima za mwisho zitatolewa leo tarehe 30 Mei, 2013 nyumbani kwake Dar es Salaam, Ubungo-Kibangu kuanzia saa tano asubuhi

1.       Jeneza lenye mwili wa marehemu Ernest Zulu likiwa kanisani wakati wa ibada ya kumwombea


1.       Mke wa marehemu Zulu (aliyefunga mkono) akiwa kanisani


1.       Watoto wa marehemu Zulu wakiomboleza kifo cha baba yao mpendwa


1.       Maandalizi ya ibada ya Misa takatifu ya kumwombea marehemu


1.       Waomboleza kwenye msiba wa marehemu Ernest Zulu.