Baada ya Mhe. Tundu Lissu kumtuhumu Mhe. Kassim Majaliwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu kuwa ni mwongo, huku akijiandaa kuthibitisha kauli yake ndipo sakata likaanza |
Ndipo Mhe. Moses Joseph Chamali alipoomba mwongozo wa Kiti |
Mhe. Ezekia Wenjeakitaka kutoa taarifa ya samaki wa sumu kutoka Japan na kukaidi agizo la Mwenyekiti lililomtaka kukaa.Ndipo Mwenyekiti akaagiza Mhe. Wenje atolewe nje ya Ukumbi |
Wageni wakishangaa kinachoendelea |
Mhe Wenje akifafanua kwa waandishi wa habari yaliyojiri |
Mhe. Deo Haule Filikunjombe akajitosa |
Wabunge wa Upinzani hawakumwelewa |
Ikawa vurumai |
Mhe Godbless Lema akaingilia |
Zogo likazidi |
Taratiibu Mhe Filikunjombe anajitoa |