Maandalizi yalikuwa hivi |
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akikaribishwa na Boss wa Vodacom Tanzania |
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Lukuvi akijali jambo na Mhe. Spika. Kulia ni Kaimu Katibu wa Bunge Bw. John Joel |
Mwenyekiti Kamati ya Starehe Mhe J. Mhagama akijadili jambo na Mkurugenzi wa Huduma kwa Wabunge Bi Neema Kusiga |
Itafaki iliyosimamia shughuli nzima: Bi. Neema Kiula (kushoto), Kaimu Katibu wa Bunge Bw. John Joel, (Kati) na Bw. Owen Mwandumbya . Picha zote ni mtirirko wa matukio ya siku hiyo |
Mhe Spika wakiteta jambo na Mama Tunu Pinda |
Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe akilonga na Kaimu katibu wa Bunge Bw.John Joel |
Baada ya kazi ngumu..... kuburudika |
Mhe. Mbowe na Mama Tunu Pinda hawakubaki nyuma |
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Vuai Nahodha na Mhe. Sanya |