| Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na wanafunzi na waalimu wa shule ya Sekondari ya Iliwola kutoka mkoani Njombe walipolitembelea Bunge Dodoma |
| Spika na Sekondari ya Ilowola |
| Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakiwa kwenye kikao cha kupokea taarifa ya bajeti ya 2011/2012 |
| Waandishi wa Habari za Bunge wakiwa kazini katika Ofisi yao ndani ya Ofisi ya bunge Dodoma |
| Wajumbe wa Baraza la WafanyaKazi |
| Wajumbe wa Baraza la Wafanya kazi |
| Wajumbe wa Baraza wakimsikiliza Katibu Mkuu wa TUGHE Bw. Kivenge |
| Wajumbe wakimsiliza Mkurugenzi wa Mipango na Mawasiliano Bw. Siegfried Kuwite |