Ubora wake unazidi matarajio |
Usafiri upo |
Utaratibu wa malipo unazungumzika |
Viwango vya hali juu |
Mwenyekiti wa CCT Askofu Dkt. Peter Kitula akitoa utambulisho na utanguli wa mwenendo wa majadiliano katika mkutano huo.
|
Askofu Mkuu Dkt Walentiono Mokiwa (kushoto) akitoa mchango wake. Kulia ni Mchungaji Dkt. Leonard Mtaita
|
Spika Makinda (kulia) na Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba ,Sheria na Utawala Mhe. Pindi Chana wakifuatilia kwa makini mjadala huo.
|
Askofu Mkuu Mokiwa akikemea upotoshwaji wowote utakaojitokeza wakati wa machakato wa katiba mpya |
Picha ya pamoja ya viongozi hao wa Dini na Mhe. Spika |
Cheti maalumu cha ushiriki na ushindi wa Ofisi ya Bunge katika maadhimisho ya Utumishi wa Umma 2011 |
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea Kikombe cha Ushindi kutoka kwa Kaimu Katibu wa Bunge Bw. John Joel (kushoto) na kukionyesha rasmi kwa Bunge zima leo |
Hongera kwa watumishi waliofanikisha: Spika Makinda |
Mama Cipe (blaus nyekundu) na Maafisa wa Bunge wakijichana kwenye mgahawa maarufu wa Cipe uliko kando kidogo ya Club maarufu ya 84 |
Ukiwa Cipe unapata aina zote za vyakula vya kienyeji na kigeni |
Makange, Punjap, Sato, Sangara, Kibakwe, Michemsho aina zote, ushindwe mwenyewe |
Uwapo Cipe jisikie nyumbani............. |
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Spika wa bunge Mhe Anne Makinda kwenye viwanja vya Bunge jana |
Spika Makinda akiongoza kikao na wageni kutoka Vietnam |
Balozi wa Vietnam nchini Tanzania Mhe. Nguyen akiwatambulisha wageni hao |
Mke wa Rais wa Marekeni Bi Mchelle Obama pamaja na watoto wake wakimfurahi Mzee Nelson Mandela walipomtembelea nyumbani kwake Jo'burg hivi karibuni |
Mzee Mandela na Mama Obama wakifuatilia kitabu cha maisha yake. |
Mama Obama na Mama Graca Machel Mandela |
Bi Michelle Obama na Mke wa Rais wa Afrika Kusini Bi.Nompumelelo Ntuli-Zuma |
Bi Michelle Obama akiwahutubia wanawake vijana wa Afrika Kusini katika Ukumbi wa kanisa la Regina Mundi |
Wanawake vijana wakiwa na Bi Obama kwenye maeneo ya kihistoria ya Afrika Kusini |
Bi Obama akiukumbatia umati mkubwa wa vijana |
Bi obama akifurahia jambo na watoto |
Ngoma ya ukaribisho kwa Bi Michelle Obama |
Mke wa rais wa Marekani akipanda mboga aina ya spinachi |
Mama Obama akidhihirisha umaarufu wake wa kucheza kiduku |