.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Monday, June 27, 2011

Ugeni Bungeni Dodoma na Ziara ya Mama Obama Afrika Kusini

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akibadilishana
mawazo na Spika wa bunge Mhe Anne Makinda kwenye viwanja vya Bunge jana

Wageni kutoka Vietnam wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Spika
Spika Makinda akiongoza kikao na wageni kutoka Vietnam

Balozi wa Vietnam nchini Tanzania Mhe. Nguyen akiwatambulisha wageni hao


Mke wa Rais wa Marekeni Bi Mchelle Obama pamaja na watoto wake wakimfurahi Mzee Nelson Mandela walipomtembelea nyumbani kwake Jo'burg hivi karibuni


Mzee Mandela na Mama Obama wakifuatilia kitabu cha maisha yake.

Mama Obama na Mama Graca Machel Mandela


Bi Michelle Obama na Mke wa Rais wa Afrika Kusini Bi.Nompumelelo Ntuli-Zuma

Bi Michelle Obama akiwahutubia wanawake vijana wa Afrika Kusini katika Ukumbi wa kanisa la Regina Mundi

Wanawake vijana wakiwa na Bi Obama kwenye maeneo ya kihistoria ya Afrika Kusini

Bi Obama akiukumbatia umati mkubwa wa vijana

Bi obama akifurahia jambo na watoto

Ngoma ya ukaribisho kwa Bi Michelle ObamaMke wa rais wa Marekani akipanda mboga aina ya spinachi

Mama Obama akidhihirisha umaarufu wake wa kucheza kiduku