.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Sunday, June 28, 2015

Rais Kikwete mgeni rasmi Siku ya Magereza 27/6/2015

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana ma Kamishna Mkuu wa magereza Nchini, Mhe. J.C. Minja siku ya kilele cha Siku ya Magereza. Picha nyingine ni mtirirko wa matukio ya siku hiyo ambapo Askari Magereza 104 walituniukiwa cheo cha Mrakibu wa Askari Magereza

































Taifa lamuaga Max

Taifa lamuga Donald Max

Mheshimiwa Marehemu Donald Kevin Max (58) aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Geta kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi. Baada ya kuugua kwa muda mrefu, na kutibiwa ndani na nje ya nchi, alifariki dunia tarehe  23 Juni 2015 katika Hospitali ya Taifa Mhumbili na kuzikwa tarehe 27 Juni 2015 katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza mamia ya waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa aliyukuwa Mbunge wa Jimbo la Geita Marehemu Donald Kevin Max kwenye viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo.

“Mwanadamu umetokana na  mawumbi na mavumbini utarudi” Ndivyo anavyoonekana kutamka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda (Mb) wakati akiweka udongo kwenye kaburi alimopumzishwa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Geita.



Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomas Kashililah, kwa unyenyekevu mkubwa akilipamba kwa maua kaburi alimolazwa aliyekuwa Mbunge wa Geita marehemu Donald Kevin Max kwa niaba ya Muhimili wa Bunge.

EU to observe 2015 general elections

Speaker of the National Assembly of the United Republic of Tanzania Right Hon. Anne Semamba Makinda (MP) (right) emphasizing a point during a close discussion with the Euroupean Union delegation led by Ambassador and Chair to Budget Support Development Partners Group, Filiberto Sebregondi and the Ireland Ambassador  to Tanzania, Fionnuala Gilsenan, when the two paid her a courtesy call in Dodoma recently. Ambassodr Sebregondi assured Speaker Makinda of sending an EU team to observe the 2015 general elections in Tanzania. Seated at left is the Chairperson of the Parliamentary Budget Standing Committee Dr. Festus Limbu (MP).
Hon. Freeman Aikaeli Mbowe (MP), Leader of official Oppossition in the House sharing a concern with the European Union delegation which paid him a courtesy call in Dodoma recently. The delegation consisted of the Ambassador and Chair to Budget Support Development Partners Group, Filiberto Sebregondi, and the Ireland Ambassador to Tanzania, Fionnuala Gilsenan. The delegation prayed for the 2015 peaceful general elections  which are due on October.

Sunday, June 7, 2015

UNDP yafurahishwa na Bunge

Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wake wa kuwawezesha Wabunge (LSP) hivi karibuni limemkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Anne Semamba Makinda (kwa niaba ya Ofisi ya Bunge) gari aina ya Land Cruiser V8 baada ya kuridhishwa na utaratibu mzuri wa Ofisi ya Bunge katika kuusimamia mradi huo. Gari hilo lenye thamani ya shilingi milioni 96 litatumika katika miradi ya kuwajengea uwezo waheshimiwa wabunge pamoja na watumishi wa Ofisi ya Bunge. Makabidhiano hayo yalifanyka katika Ofisi ya Bunge mjini Dodoma mbele ya Makamishna wa Bunge pamoja na Maafisa wa ngazi za juu wa Ofisi ya Bunge.