.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Wednesday, November 5, 2014

Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Anne Makinda (Mb) arejea nchini na kulakiwa kwa nderemo na vifijo kufuatia kuchaguliwa kwake kushika wadhifa wa urais wa SADC-PF kwa kipindi cha miaka miwili ijayo. Katika Uwnja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, jana usiku Mhe. Makinda alilakiwa na maelfu ya akina mama wa UWT. Karibu nyumbani mama!