.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, November 4, 2014

TAARIFA: TBC kuonyesha live Rais Kikwete anapoongea na Wazee wa Dodoma wakati wowote kuanzia sasa.Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma  katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose kuangalia mazungumzo hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja na mtandao wa www.ikulu.go.tz

IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA RAIS IKULU,

NOVEMBA 4, 2014

Wakazi wa Dodoma wakisubiri kwa hamu kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania