Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum
la Katiba ,Kamati namba nne (4) wakiwa katika kikao leo mjini Dodoma cha
kupitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba kwa ajili ya kuiboresha.
|
Mwenyekiti wa Kamati namba tatu (3) ya
Bunge Maalum la Katiba Mhe. Shamsi Vuai Nahodha akiongoza mjadala wa
Kamati hiyo leo mjini Dodoma wakati wanapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya
Katiba mpya.
|
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum
la Katiba , Kamati namba tano (5)wakiwa katika kikao leo mjini Dodoma cha
kupitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba kwa ajili ya kuiboresha.
|
Mwenyekiti wa Kamati namba kumi na
moja(11) Mhe. Anna Kilango akiongea na waandishi wa habari juu ya mambo
yaliyojitokeza katika kikao cha Kamati hiyo wakati wanapitia rasimu ya Katiba
mpya.
|
Mwenyekiti wa Kamati namba tano (5)
Hamad Rashid Mohamed akiongea na waandishi wa habari juu ya mambo
yaliyojitokeza katika kikao cha Kamati hiyo wakati wanapitia rasimu ya Katiba
mpya.
|