Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Kangi Lugola akitoa mchango wake leo mjini Dodoma kwa Mwenyekiti wa wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(hayupo pichani)wakati alipotembelea Kamati namba Sita kujionea maendeleo yaliyokwishafikiwa katika kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu mpya ya Katiba. |
Mwenyekiti wa Kamati namba sita ya Bunge Maalum la Katiba Stephen Wassira(katikati) akisoma dua ya kuharisha kikao cha Kamati leo mjini Dodoma. Wengine ni Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dkt. Maua Abeid Daftari(kushoto). |
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Abdallah Safari akitoa mchango wake leo mjini Dodoma kwa Mwenyekiti wa wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(hayupo pichani)wakati alipotembelea Kamati namba saba kujionea maendeleo yaliyokwishafikiwa katika kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu mpya ya Katiba.
|
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akisalimiana na Mjumbe wa Bunge hilo Godbless Lema(kushoto) leo mjini Dodoma wakati akitembelea Kamati mbalimbali kujionea maendeleo ya uchambuzi wa vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya kwa sura ya Kwanza na Sita |
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Freeman Mbowe akitoa mchango wake leo mjini Dodoma kwa Mwenyekiti wa wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(hayupo pichani)wakati alipotembelea Kamati namba Saba kujionea maendeleo yaliyokwishafikiwa katika kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu mpya ya Katiba
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Benadetha Mshashu akitoa mchango wake leo mjini Dodoma kwa Mwenyekiti wa wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(hayupo pichani)wakati alipotembelea Kamati namba saba kujionea maendeleo yaliyokwishafikiwa katika kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu mpya ya Katiba
|
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akizungumza na wajumbe wa Kamati namba saba (7) ya Bunge hilo leo mjini Dodoma wakati akitembelea Kamati mbalimbali kujionea maendeleo ya uchambuzi wa vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya kwa sura ya Kwanza na Sita. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Brigedia Jenerali Mstaafu Hassan Ngwilizi. |