.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, March 28, 2014

Bila maombi hili la Katiba ni gumu….


       Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samwel Sitta akiongoza maombi maalum kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati ya Maridhiano jana usiku. Mhe. Sitta aliiunda Kamati hiyo ili kujadili na hatimaye kukubaliana kwenye baadhi ya mambo yaliyoshindwa kufikia muafaka Bungeni. Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge Maalum Ndugu Yahaya Khamis Hamad.

  Maombi
oMwenyekiti akiendesha kikao cha Kamati ya Maridhiano. Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na wajumbe wengine kwenye Kikao hicho

   Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe  pamoja na wajumbe wengine kwenye kikao hichoDkt Asha-Rose Migiro pamoja na wajumbe wengine ndani ya kikao hicho


Prof. Costa Ricky Mahalu pamoja na wajumbe wenzake wakati wa kikao hicho.Prof. Ibrahim Lipumba pamoja na wajumbe wengine katika kikao hichoKikao cha Maridhiano kinaendelea