.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Wednesday, March 5, 2014

Besdei ya KB

Kwa mshangao mkubwa leo asubuhi Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomas Kashilillah amekutana uso kwa uso na watumishi wa Ofisi ya Bunge waliomvamia Ofisini kwake Dodoma. Wakiwa wamebeba keki ya heshima, wamefika kumtakia heri, fanaka, baraka na maisha marefu katika hii siku ya kuzaliwa kwake. Baada ya maneno ya shukrani aliyoyatoa kwa taabu kutokana na mshtuko wa furaha, ndipo alipoikata keki, akawa mtumishi wa wote , akawalisha watumishi kwa uwakilishi wa idara na vitengo, na yeye mwenyewe kulishwa keki hiyo wa mwisho......