Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akishirikishana jambo na Mbunge wa Peramiho Mhe. Jenister Mhagama (Kulia) |
Mhe. James Lembeli Mbunge wa Kahama, Mbunge wa Mafia Mhe. Abdulkadir Shah na Mhe. Godbless Lema Mbunge wa Arusha wakifurahia jambo na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda |
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda (kulia) akishuriana jambo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Idd Seif leo mjini Dodoma |
Mhe. Highness Kiwia akimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu. (Picha kwa hisani ya Ofisi ya Waziri Mkuu) |