Wabunge wkila kiapo cha uzalendo mara baada ya mafunzo ya muda mfupi ya JKT |
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti cha kuhitimu mufunzo hayo Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Bulaya katika Kambi ya Ruvu jana |