Rais Kikwete akimkaribisha mgeni wake |
Rias Xi Jinping akiutangazia ulimwengu sera zake kwa Afrika ambapo amesema uchumi ni kipaumbele cha kwanza |
Kutoka kushoto: Mama Salma Kikwete, Rais Xi Jinping, Rais Kikwete na Mama Peng Liyuan (mke wa Rais wa China) |
Rais Xi Jinping alikutana na Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe Ali Mohamed Shen katika Hotel ya Serena na kuwa na mazungumzo mafupi |
Mama Peng Liyuan na Mama Salma Kikwete wakiweka mashada ya maua. Baada ya shughuli hiyo Rais Xi Jinping na ujumbe wake walihitimisha ziara hiyo ya siku mbili na kuondoka kwenda Afrika ya Kusini . |