Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwasili
kwenye Ubalozi wa Tanzania DRC na kusalimiana na watendaji wa ubalozi huo baada
ya kupokelewa na Kaimu Balozi Mhe. Hemed Mgaza (kushoto) Spika Makinda
ameandamana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulizni na
Usalama, Mhe. Mussa Azzan Zungu. Spika Makinda ameshauri kuwa wakati umefika
kwa balozi zetu kuwezeshwa ili zijitegemee.
Wafanyakazi
wa Ubalozi
Spika
akisaini Kitabu cha wageni
Picha
ya Pamoja na wafanyakazi
Jengo
la Ubalozi. Jengo hili lipo kando ya barabara kuu Kinshasa, eneo maarufu kwa
biashara.
Wajumbe
kaamati maalum wakiendelea na mkutano wa FP/ICGLR
Makamu
Mwenyekiti Mhe. Zungu akisaini kitabu
cha wageni