Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kati) akimfariji mke wa arehemu Issa na mama mzazi wa Zainab kulia. Kushoto ni Bi Zainab Issa Kihange ambaye ni mfanyakazi wa Ofisi ya Bunge. |
Viongozi wa wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge kwenye Msiba huo mapema leo. |
Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakiomboleza. |
Ndugu, jamaa na majirani waliofika kwenye msiba. |
Wafanyakazi wenzake na Bi Zainab |
Mwakilishi wa Ofisi ya Bunge Ndugu Jossey Mwakasyuka akitoa salamu za rambirambi |
Ndipo ikaanza safari ya mwisho ya Issa Kihange hapa duniani |
Ni vilio, ni simazi, ni majonzi, ni huzuni kubwa |
Spika Makinda akiwafariji na kuwaaga wafiwa |