.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Monday, July 23, 2012

Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya atembelea CCBRT

  Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni mlezi wa Hospitali ya CCBRT Mhe. Anne Makinda akisalimiana na  Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Jose Manuel Barroso alipowasili Hospitalini hapo leo kujionea shughuli za Hospitali hiyo. Serikali ya Tanzania na Umoja wa Ulaya umekuwa ukiichangia fedha nyingi hospitali hiyo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT Dkt Wilbrod Slaa  akifafanua jambo kwa Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr Erwin Telemans (kati) pamoja na Spika Makinda.

Rais Barosso akisaini kitabu cha wageni.

Mtaalamu wa viungo wa Hospitali ya CCBRT akifafanua jambo kwa ugeni huo.

Dr. Erwin Telemans Mkurugennzi Mkuu wa CCBRT (shati jeupe) akiwatambulisha wagonjwa.

  Baadhi ya wagongwa wanaopata huduma CCBRT.





   Wagonjwa waliotibiwa na kupona fistula.

Mpango wa Upanuzi wa Hospitali ya CCBRT

Watoto Dema Emmanuel (6) na Goodson George (16) wakimkabidhi mgeni rasmi zawadi ya ‘gari’

Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya akiondoka katika viwanja vya CCBRT

Karibu tena

Wafanya kazi wa CCBRT