Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akimkaribisha Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda alipofika Zanzibar kutoa salam za rambirambi kufuatia ajali ya meli iliyotokea hivi karibuni |
Rais Shein akimfahamisha Mhe Spika hatua zilizokwishachukuliwa na serikali katika kukabiliana na tatizo hilo |
Rais Shein akisalimiana na ujumbe ulioongona na Spika |
Wabunge walioambatana na Spika wakisaini kitabu cha maombolezo |
Spika Makinda akimpa pole Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Idd Seif |
Spika Makinda akimfariji Spika wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe. P. Kificho |
Picha ya pamoja |