.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Thursday, July 26, 2012

Aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba, Issa Kihange, afariki dunia


Marehemu Issa Kihange, baba Mzazi wa Bi Zainab Issa Kihange. Alikuwa ni mchezaji mpira wa miguu aliyewahi kuichezea Timu ya Simba. Alifariki ghafula tarehe 24/7/2012 na kuzikwa nyumbani kwake Dodoma tarehe 26/7/2012
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kati) akimfariji mke wa arehemu Issa na mama mzazi wa Zainab kulia. Kushoto ni Bi Zainab Issa Kihange ambaye ni mfanyakazi wa Ofisi ya Bunge.


Viongozi wa wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge kwenye Msiba huo mapema leo.


Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakiomboleza.


Ndugu, jamaa na majirani waliofika kwenye msiba.


Wafanyakazi wenzake na Bi Zainab


Mwakilishi wa Ofisi ya Bunge Ndugu Jossey Mwakasyuka akitoa salamu za rambirambi


Ndipo ikaanza safari ya mwisho ya Issa Kihange hapa duniani


  Ni vilio, ni simazi, ni majonzi, ni huzuni kubwa


Spika Makinda akiwafariji na kuwaaga wafiwa