Shosti karibu keki........aka kwa rangi hizo hunipati ng'o! Ilikuwa ni sherehe ya siku ya kuzaliwa Mbunge wa Afrika Mashariki Mhe. Shyrose Bahnji pamoja na marafiki zake jana. |
Lilian Liundi kutoka TGNP akiwanoa wanahabari jijini dar leo |
Kazi ni kazi baba ... hakuna kuchagua kazi |