.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Saturday, November 12, 2011

Tutakufa wote lakini Tanzania itabaki- Prof.Palamagamba Kabudi

Waziri Mkuu na Mweneyekiti wa Semina Mhe. Mizengo Pinda akifungua semina ya mchakato wa marakebisho ya Katiba Mpya mjini Dodoma leo

Spika wa Bunge akifafanua jambo kwenye semina leo

Prof Palamagamba Kabudi wa Chuo Kikuu Dar es salaam ameawaka wadau wote wa katiba Mpya kuweka mslahi ya Taifa mbele kipindi hiki cha mchakato wa Katiba Mpya. Prof. kabudi amesema ikumbukwe kwamba sote tutakufa lakini Tanzania itabaki. Alikuwa akiendesha semina ya marekebisho ya katiba mpya mjini Dodoma leo.

Wajumbe wa semina wakimsikiliza Prof Kabudi

Mhe. Tundu Lisu akichangia katika semmina hiyo

Mhe. Ole sendeka akisoma vifungu vya katiba iliyopo

Prof. Kabudi