Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Celina Kombani akijadili katika Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala mjini Dodoma leo. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Pindi Chana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Angelah Kairuki. Kamati imeendelea kuboresha Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Marekebisho ya Katiba ya Mwaka 2011. |