Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Ghalib Bilal akifungua mkutano wa maadhimisho ya miaka kumi ya chama wabunge wanaopambana na Ukimwi Tanzania (Tanzania Parliamentarians Aids Coalition-TAPAC) mjini Dodoma jana.
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akimshukuru Makamu wa Rais kwa kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye mkutano huo, pamoja na kuwashukuru wageni waliotoka nje na ndani ya Tanzania,
Mwanyekiti wa TAPAC Mhe. Lediana Mng'ong'o akiwakaribisha waalikwa kwenye mkutano huo na kutoa ngalizo kuhusu maambukizi mapya ya ugonjwa wa Ukimwi
Makamu wa Rais na Spika wa BungeWaziri Mkuu Mhe. Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Wageni mbalimbali katika mkutano huo.
Kuwasha mshumaa
Picha za pamoja
Karibu tena Mhe Makamu