Bi Amina Ikaji, mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma katika shahada ya Uongozi na Rasilimali-Watu kwenye mahafali ya pili ya Chuo hicho jana.
|
Bi Neema Mbogoni akiwa na rafiki yake Bi Amina Ikaji (kulia)
wakipongezana kwa hatua waliyofikia ya kuhitimu shahada
ya kwanza jana kwenye Chuo Kikuu cha Ddodoma.
|
Wadau wakipongezana na kutakiana kheri katika maisha jana
|
Hongera sana mwanetu! Ndivyo wanavyoonekana wakisema ndugu, jamaa na marafiki wa Amina.
|
Taswira ya Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa Mahafali jana
|
Picha zote ni za muonekano wa furaha katika tukio hilo |