.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, September 27, 2011

Baraza la wafanyakazi ofisi ya Bunge lakutana Zanzibar


  Mgeni rasmi Naibu Spika wa Bunge Mhe, Job Ndugai, (kushoto) akiwasili jana katika ofisi ndogo ya Bunge Zanzibar eneo la Tunguu tayari kwa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi. Kushoto kwake ni Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Bw. Ibrahim Mzee na Mfawidhi ofisi ya Bunge Zanzibar Bw. Ramadhani Issa.

  
Wajumbe wa Kamati Tendaji


 Wajumbe wa Baraza


Wajumbe wa Baraza

   Wajumbe wa Baraza wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Zanzibar
 
  Mgeni rasmi  akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi

  Wajumbe wa Baraza ambao wamejikuta wakipaoteza nywele  kila kukicha kwa kile kinachoitwa Academic Desert. Kutoka kushoto ni Abdallah Mwanga, Demetrius Mgalami, na Siegfied Kuwite


Katibu wa Bunge Dkt T.D. Kashililah (katikati) akimpa briefing Naibu Spika. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge Bw. John Joel na kushoto na Mwenyekit wa Kamati ya Ajira na Utumishi  wa Tume ya Utumishi wa Bunge Kamishna Salehe Pamba, Mb.Add caption
 
  Wajumbe wa Kamati Tendaji


   Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi (Katibu wa Bunge) Dkt Kashililah akiendesha kikao cha kamati Tendaji ya Baraza hilo kabla ya kikao cha baraza kuanza.