Ndafu ikawekwa kati |
Bwana Victor Balthazar Mashindano Minja na Bi. Edna Yusufu Bakari wote wa Arusha siku ya tarehe 1 Oktoba 2011 walikata shauri na kuamua kuishi maisha ya mume na mke. Bw. Victor ni Msanifu Majengo wa Wakala wa Majengo Tanzania na Bi. Edna ni mfanyakazi mkoani Arusha. Shughuli nzima ilifanyika nyumbani kwa Profesa Balthazar Mashindano Minja (bingwa wa Pua, Koo na Masikio kidhungu ENT), Boko-Ununio Beach. Baada ya ibada takatifu ya misa kanisani, mambo yakawa hivi:
Victor na Edna wakaanza kufanya kweli |
Nilishe nikulishe wangu |
Wazazi tulieni mlishwe - Profesa BM Minja akilishwa ndafu |
Ndipo ikaanza safari ya kuelekea kwa wakwe |
Mambo ya picha yakafuata ...mapozi si mapozi |
Mama Victor akilishwa ndafu |
Karibuni ndafu wageni waalikwa |
Mandhari ya ukumbi na pamba za wadau |
Vikundi mbalimbali vikipiga picha na maharusi |
Wadau wakibadilishana mawazo |
Kamati iliyoongoza shughuli |
Mama Victor akitoa neno la shukrani |
Ndipo ngoma ikaanza |
Watoto hawakuachwa nyuma |