.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Monday, August 8, 2011

Upinzani mzuri hauvurugi maendeleo: Rais Mutharika awaambia Maspika


Rais Bungu wa Mutharika akipokea heshima kabla hajauhutubia mkutano huo uliohudhuriwa na nchi  zote kumi na tisa za Afrika za Jumuiya ya Madola (ambazo ni Tanzania, Afrika Kusini, Malawi, Kenya, Botswana, Cameroon, Rwanda, Uganda, Zambia, Namibia na Zimbabwe. Nyingine ni Seychelles, Swaziland, Gambia, Ghana, Lesotho, Mauritius, Sierra Leone, Nigeria na Msumbiji).


 Spika Makinda (wa pili kushoto) akifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi iliyojikita kwenye kuimarisha umoja na mshikamano ili kuliondoa bara la Afrika katika umaskini uliokithiri. Kulia ni Spika wa Sierra Leone na kushoto no Spika wa Zambia.

Ujumbe wa Maafisa kutoka Bunge la Tanzania

 Katibu Msaidizi wa CPA Kanda ya Afrika (wa pili kulia) Bw. Demetrius Mgalami kutoka Tanzania.



 Spika Makinda (wa kwanza kulia waliokaa) kwenye picha ya pamoja ya Maspika na Wenyeviti wa Bunge. Katikati mwenye fimbo ni Ngwazi Profesa Bingu wa Mutharika, Rais wa Jamhuri ya Malawi.