.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, July 5, 2011

Malipo ya rada kurejeshwa

Naibu Spika Mhe. Job Ndugai akimkabidhi Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda taarifa ya marajesho ya fedha zilizonunulia rada. Mhe Ndugai aliongoza timu ya wajumbe kwenda Uingereza kwa ajili ya jambo hilo na sasa amerejea nchini

Spika Makinda akiionesha taarifa hiyo kwa wanahabari

Mhe. Ndugai akifafanua jambo kwa wanahabari waliofurika katika ukumbi wa Spika

Wajumbe waliokwenda Uingereza kwa kazi hiyo. Kulia kwa Naibu Spika ni Mhe. Angellah Kairuki, na kushoto ni Mhe. Musa Zungu Mb