MC wa shughuli siku ya tarehe 2/7/2011 ndani ya viwanja vya Bunge |
Itifaki ilisimama kidete |
Mwenyekiti Kamati ya Starehe Mhe. Jenista Mhagama akiwakaribisha rasmi wageni |
Wadau katika mkao wa kupata |
Wadau wakisubiri sebene |
"In vino veritas" yaelekea ndivyo mdau anasema |
Miss Tourism na timu yake hawakuwa nyuma kwa hili |
Mzee Sitta akikonga nyoyo za wadau |
Spika Makinda, Kaimu Waziri Mkuu wakimsikiliza mwakilishi wa TDL |
Hongereni sana kwa kuitangaza nchi yetu |
Karibuni sana Dodoma, karibuni sana Bungeni |
Picha ya pamoja na wakulima wa zabibu ambao ni wazazi wa watoto ambao wameshaanza kuula kimasomo |
Wadau walipoz wakati wa shughuli |
Mduara ulipoanzahakuwepo wa kutegea |
Shughuli ni watu |
Ndipo ukatimia wakati wa watu kuzawadiwa |
Mhe. Ngeleja -Capten wa timu ya Bunge |
Wafanyakazi Ofisi ya Bunge hawakuachwa nyuma |
Twanga Pepeta walipojirusha tu uwanjan i........... |
....... hakuna aliyehitaji Taarifa |
...... wala mwongozo wa Spika |