Naibu Spika Mhe. Job Ndugai akifungua muziki na Mhe. Esther Matiko katika hafla iliyoandaliwa na Zantel ndani ya viwanja vya Bunge mwishoni mwa wiki |
Kaimu Kiongozi wa Upinzania Bungeni Mhe. Tundu Lisu akisakata rumba na Mhe. Martha Mlata katika shughuli hiyo |
Mhe. Mlata akionesha ufundi na uzoefu waki katika medani ya uimbaji |
Extra Bongo wakifanya vitu vyao |
Extra Bongo |
Mshindi wa Miss Vodacom Tanzania Higher Learning Central Zone Bi Glory Lori baada ya kuibuka kidedea jana usiku mjini Dodoma ndani ya African Dream Hotel |
Mgeni Rasmi Mhe. Saidi Mtanda Mb, katika shughuli hiyo akikabidhi zawadi |
Mrembo Glory akiangua chozi baada ya kutangazwa mshindi. Anayemfuta machozi ni mshindi wa tatu katika kinyang'anyiro hicho Bi. Wema Mwanga |
Mwanzo wa shughuli |
Vazi la ufukweni |
Kumi bora wakipita jukwaani |
Tano bora wakijibu maswali ya weledi |
Wadau wakifuatilia mpambano |